MAHUDURIO
1. TASLIMA KAIJAGE
2. CONSOLATA MREMA
3. BALKISS CWAHO
4. NEY MLACKY
5. LATIPHA KASSIM
6. JOHN KIANDIKA
7. MAHD PYALALI
8. LINDA BYBA
9. STELLA RWEGOSHOMA
10. ANSILA LUCAS
11. MAGUHAS
12. AYOUB MOO
13. KITUNDU MASHAKA
14. SHAIBU HAMZA
15. STEPHEN MINJA
16. NURU KUHANZA
17. NASSOR HUSSEIN
18. CHRISTINA STEVE
19. KHAMISS J MOH’D
20. KHAMIS JOMBAS
21. HUSSEIN ADAM
22. YASSIR MATSAWILY
AGENDA
1. UFUNGUZI
2. UJASILI WA KIKUNDI
3. UANACHAMA
4. ADA YA MWANACHAMA
5. UCHAGUZI WA VIONGOZI WA MUDA
6. BODI YA USHAURI
7. MENGINEYO
8. KUFUNGA
1: UFUNGUZI
Kikao kilifunguliwa saa 11:45 jioni na Mwenyekiti Taslima
2: USAJILI WA KIKUNDI
Wanachama walikubaliana kikundi kisajiliwe kama NGO’S, nishirika ambalo sio la kiserikali kwasababu NGO’S inaingia sehemu yoyote nasio kama Kampuni. Sifa chache za NGO’S ni watu wanajitolea zaidi kulikokuangalia faida binafsi, kupata Sponsors ni rahisi natena nirahisi kubadili NGO’S kwenda kwenye kampuni na kampuni kwenda kwenye NGO’s
Nakuhusu jina lizungumzwe baadae maana NGO’S haiangalii jina, natena kichochoro kitabaki kama kichochoro ambayo itakuwa (C CLAB) na kusajiliwa kwa jina la Kichochoro au rahaa jumanne watu wajitolee na kuzungumzia kuhusu NGO’S, Maana Mwenyekiti Taslima alisema kuwa yeye ni mgeni kuhusu NGO’S tunatakiwa kumpa point nakila mwanachama anatakiwa kutoa point.
Mwenyekiti Taslima alisema kwamba kuhusu hii katiba aliyoiandaa hawezi kuifuta maana inaweza kutumika hapo baadae wakati tunaandaa katiba mpya ya NGO’S.
3: UANACHAMA
Tumekubaliana tuwe na aina moja (1) yauwanachama
i. Life Time
4: ADA YA MWANACHAMA
Wanachama wamekubali kuwa na kiingilio cha aina moja
i. Life Time
Wanachama wamekubaliana Life time walipe Tsh 10,000/= kila mwezi na Mwanachama anawezakutoa zaidi ya hapo endapo atapenda kutoa zaidi ya Tsh 10,000/= kama wanachama walivyopanga.
Ada hii ya kila mwezi ni ya mwaka mzima na Member anaweza kuchagua kuilipa yote au kidogo kidogo ila hawezi kuruka mwezi bila ya kulipa halafu baade ndo alipe.
Kama itatokea suala hilo basi kutakuwa na utaratibu utaofuatwa moja wapo ni kulipishwa faini.
5: UCHAGUZI WA VIONGOZI WA MUDA
i. Mwenyekiti
ii. Katibu
iii. Mweka hazina
iv. Mnadhimu
MWENYEKITI
Wanachama walimchagua Taslima Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Muda. Na Mahad Payalali amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Msadizi wa muda.
KATIBU
Wanachama walimchagua Ney Mlacky kuwa Katibu wa muda, na Happiness Kisanga amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Msaidizi wa muda.
MWEKA HAZINA
Wanachama walimchagua Amir Nassor kuwa Mweka hazina wa muda. Nassor alisema kwamba endapo akipata tatizo lolote kama kufa tunatakiwa kumuona Ayoubu, Shahibu, Mahd na Maguha maana hao ndo wanajua wapi pakuzipata pesa zetu.
MNADHIMU
Wanachama walimchagua Maguhas kuwa Mnadhimu wa muda. Wanachama wakasema endapo yeye akikosea anatakiwa kutoa faini mara tatu maana yeye ni mfano kwa wengine.
6: BODI YA USHAURI
Wanachama walipendekeza Ma –Administrator Flave na Ebra watakuwa ndio wahusika wa bodi ya ushauri na hao ndo watasimamia kila kitu ili kuhakikisha mambo yanakwenda sawa.
7: MENGINEYO
- Wanachama walikubaliana kila atakayechelewa kufika kwenye kikao basi
anatakiwa kutoa faini ya Tsh 10,000/= ili hiwe fundisho kwa yoyote Yule
anaechelewa kufika kwenye kikao .
- Wanachama wakapendekeza kama huyo mtu atarudia kosa hilo mara tatu basi
atatoa faini ya Tsh 20,000/= badala ya Tsh 10,000/= kama walivyokubaliana
wanachama.
- Wanachama walipendekeza kama mwanachama yoyote wa kichochoro ajatoa
michango au kutokufika kwenye kikao au kutochangia point au kuto kucoment
au kulike basi hao watatolewa kwenye kikundi.
- Wanachama walimtolea mfano Ebra yuko mbali na hapa lakini tunatumichango
yake mingi kama huu tunautumia.
- Wanachama walipendekeza kuwe na blog tofauti tofauti ila hata kama kukiwa
na tatizo Face book twende kwenye mitandao mengine kwa mfano:
i. Link dern
ii. Twitter
iii. Nimbler
iv. Blog
v. Website na nk
8: KUFUNGA KIKAO
Kikao kiliahirishwa majira ya saa mbili na nusu usiku kwa kutangaza tarehe nyingine ya kikao ni 18/03/2012 ambachokitakuwa katikati ya mwezi hujao.
TASLIMA KAIJAGE HAPPINESS KISANGA
----------------------------- ------------------------------
MWENYEKITI KATIBU MASAIDIZI