Chochorooo kikundi cha watu walio na akili za kimaendeleo tu. Unatakiwa kuwa unatundika mawazo au maoni yako kwa kushiriki mijadala tofauti angalau mara tatu kwa wiki labda kama umetoa sababu ya kutoweza kushiriki nasi. Wale watakaoamua kukaa kimya bila kutoa mchango wowote au kushiriki mijadala ya kimaendeleo basi tutawaaga jamvini kwa Amani ya Mwenyezi Mungu. Uelewa wako ni muhimu katika kudumisha jamvi hili.
3 comments:
haloooooo imetulia mbaya
tamu hyo
funy funy
Post a Comment